Leo April 24, 2018 Jeshi la Polisi Makao Makuu limetoa tahadhari kwa Wananchi wanaohitaji kujiunga na jeshi hilo kuepuka matapeli wanaotangaza ajira hizo ili kujipatia fedha kwa njia isiyo halali na kwamba jeshi hilo lina utaratibu mmoja wa kuajiri na kwa sasa wanachukua walioko JKT.
Akizungumza na AyoTV Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Barnabas Mwakalukwa amesema “Tangazo letu sis ni la kisheria zaidi, linaonekana limetangazwa kwenye chombo na kuna saini ya Kamishna wa Utawala”
LIVE MAGAZETI: Saa moja ya wasiojulikana nyumbani kwa Meya, CAG atoa msimamo mzito