Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ambapo ameishauri Serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya barabara ikiwa kweli inataka kuwasaidia wananchi wengi zaidi wakiwemo wa hali ya chini.
Faida 4 Tanzania ilizopata baada ya ndege ya Emirates kutua DSM