Bunge la Nigeria limemuita Rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari ili aeleze nini serikali ya nchi hii inafanya kuzuia ukatili unaoendelea baina ya wafugaji na wakulima katika maeneo ya kati ya nchi hiyo.
Wabunge wa bunge hilo wamepiga kura kumwita Rais huyo ili aelezee jambo hilo ambalo limesababisha vifo vya takribani watu 400 tangu mwezi January 2018.
Mwanamke amuua ‘hawara’ wa mumewe na yeye ajiua
Ukatili huu kwa wingi umekuwa ukifanyika katika mji wa Benue, ambako watu 385 wameuawa kwa mapigano hayo tangu mwezi January ambapo Jumanne iliyopita watu 18 ikiwa ni pamoja na viongozi wa kanisa la Catholic waliuawa.
“Rammy alisema siku ya msiba wa MASOGANGE atatafuta KIKI, ninao ushahidi” – Irene