Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amesafiri na kuelekea Korea Kusini kwa ajili ya kuhudhuria kikao kati yake na Rais wa nchi hiyo, Moon.
Kim Jong Un amekuwa kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini kuvuka mpaka na kuingia Korea Kusini tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe (Korea) mwaka 1953.
Mabodigadi 12 wakisindikiza gari ya Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un baada ya kumalizika mkutano wa kwanza na wa kihistoria kati yake na mwenzake wa Korea Kusini Moon Jae-in.
BREAKING: RAIS MAGUFULI ALIVYOIPANDISHA HADHI DODOMA KUWA JIJI