Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Professor Jay amelilalamikia baraza la sanaa nchini BASATA kwa kushindwa kuwasaidia wasanii na badala yake imekuwa ikiwakandamiza wakati Serikali ingeweza kujipatia kipato kikubwa kwa kuwekeza bajeti ya kutosha kwa ajili ya wasanii hao.
Unaweza kumsikiliza Professor Jay kwenye hii video hapa chini….
ONYESHO LA MAKOMANDOO WA TZ 2018