Mwanamuziki wa Rap kutoka London Uingereza Kenny Mukendi maarufu kama Kenny Vulcan mwenye umri wa miaka 20 anaripotiwa kupotea akiwa Rio de Janeiro Brazil na anahisiwa kujirusha baharini mwenyewe.
Rapper huyo aliripotiwa kupotea April 13, 2018 baada ya kumwambia mpenzi wake kwa njia ya simu kwamba yuko njiani kutoka studio moja ya muziki na anarudi nyumbani.
Zimbabwe yawa nchi ya pili Afrika kugawa leseni za kulima bangi
Uchunguzi umeonesha uwezekano mkubwa wa rapper huyo kuamua kujirusha mwenyewe baharini.
Roma na Mkewe kwenye Send Off ya mchumba wa Stamina leo