Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga ambaye mara nyingi huwa haishiwi headlines za matukio, Leo May 3, 2018 alisimama Bungeni Dodoma na kuwatuhumu baadhi ya Askari polisi wa usalama barabarani (Traffic) kwamba wanakiuka miiko ya kazi zao na badala yake wamejipa kazi ya kukusanya mapato.
“Traffic ni janga la taifa, wameacha kazi yao ya kuangalia usalama barabarani sasa hivi wanafanya kazi ya kukusanya mapato na nimethibitisha mmewawekea malengo, makosa wanayotoza ni ya uonevu. Unamtoza bodaboda laki mbili” –Goodluck Mlinga
Onyo alilolitoa Waziri mkuu Majaliwa kwa TRA