Mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa chama cha upinzani nchini Msumbiji, Afonso Dhlakama anaripotiwa kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Inaelezwa kuwa kiongozi huyu Dhlakama amefariki kufuatia maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu.
Kiongozi huyu aliongoza harakati za kupinga Ukomunisti zilizofahamiaka kama RENAMO kwa kipindi cha miaka 15 ya uasi dhidi ya serikali ya Msumbiji.
“Watu wameshikwa pabaya, Polisi ni wapigadebe wa CCM” –Lucy Mayenga