Mbunge wa Singida Maghalibi Elibariki Kingu ni alisimama Bungeni kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo ameitaka Serikali kuacha kushikiwa akili na wazungu katika kusimamia baadhi ya miradi nchini.
“Ndugu zangu tuache kushikiwa akili na wazungu, miradi yote ambayo taifa inajua italeta tija wazungu wanakuja na kusema Oooh! Environmental problem achaneni na hayo mambo. Serikali chukueni maamuzi magumu, kuna mambo yataumiza watu lakini fanyeni kwa maslai ya vizazi vijavyo na sio wazungu wanaokuja kupiga picha” –Elibariki Kingu
Hili ndilo zao pekee Afrika linalopatikana Pangani, Tanga