May 8, 2018 mkutano wa kumi na moja kikao cha ishirini na nane umeendelea Bungeni ambapo kazi ilianza kwa kipindi cha maswali kutoka kwa wabunge ambayo Mawaziri walisimama kuyajibu kwa niaba ya Serikali. Na haya ndio maswali makubwa matano yaliyoulizwa na kujibiwa.
“Hatutaikubali, ni aibu tupu” –Ester Bulaya