Leo May 8 2018 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Sensa na Takwimu za Kijamii nchini Tanzania Ephraim Kwesigabo amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mfumuko wa bei kwa mwezi April 2018.
Mkurugenzi huyo pia amezungumzia jinsi watu wanavyofikiri kwamba mfumuko wa bei unapopungua na bei ya vitu inapungua hali ambayo si kweli na kuelezea kwamba mfumuko wa bei ni hali ya mabadiliko ya kupungua kwa kasi ya vitu.
Maswali matano makubwa yaliyoulizwa Bungeni May 8, 2018