Leo May 9, 2018 AyoTV imezungumza na Mzee Alphonce Liwingambwike mwenye umri wa miaka 71 na mpaka sasa hana mtoto hata mmoja na hiyo ilisababishwa na ugonjwa aliokuwa nao mkewe ambaye alimuacha.
Mzee Liwingambwike anatupa stori pia ya maisha yake ya kawaida ilikuwaje akafanya kazi ya kutengeneza urembo kwa kutumia mabati. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama
TEKNOLOJIA MPYA TZ: Kadi inayodhibiti wizi na upotevu wa maji