Baada ya Spika wa Bunge Job ndugai kutoa maelekezo kwa Serikali kuleta Bungeni taarifa kuhusu tatizo la upungufu wa mafuta ya kula nchini, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ndio aliyesimama na kuisoma mbele ya bunge.
POVU: Kwa wabunge wanaoikosoa Yanga kufungwa 4-0 Algeria