Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa agizo ndani ya siku tatu kuanzia kesho May 10, 2018 kuondolewa kwa mafuta yote yaliyopo bohari na kuingizwa sokoni ili wananchi wasiendelee kununua mafuta hayo kwa gharama ya juu na Serikali itaingia kufanya ukaguzi katika viwanda kuhakiki kama mafuta hayo yapo.
Watuhumiwa wa ugaidi Arusha majalada yao yamepelekwa Mahakama kuu