May 10, 2018 Serikali kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji inayoongozwa na Waziri wake Charles Mwijage imewasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo imeomba kuidhinishiwa zaidi ya Shilingi Bilion 143 hapa nimekusogezea baadhi ya vipaumbele na malengo ya Wizara hiyo vilivyotajwa kufanyiwa kazi.
Majibu ya Serikali kupanda kwa bei ya mafuta ya kula