Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amesema Serikali serikali ya awamu ya tano kwa miezi 24 iliyopita imesababishia hasara taifa kwa mauzo ya nje ya thamani ya dola Bilion moja kwa kuua mahusiano ya kibiashara nje ya nchi. Zitto ameyaongea hayo wakati akichangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2018/19
“Rais Magufuli ameongopewa, haiingii akilini na inasikitisha” –Kiteto Koshuma