Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda ni miongoni mwa Wabunge waliowasilisha Bungeni mapendekezo yake katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amesema licha ya Tanzania kubarikiwa vitega uchumi vingi lakini bado inaendelea kusuasua katika sekta ya viwanda huku akihoji ni nani ameiroga Tanzania.
Vipaumbele vikubwa vilivyotajwa na Serikali katika sekta ya viwanda