Wakati tukiwa katika kipindi ambacho Waislamu ulimwenguni wanaendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, ambao ni moja ya nguzo tano kuu katika dini ya Kiislamu basi ni vyema kufahamu taarifa hii inayohusu baadhi ya nchi duniani zinazofunga kwa muda mrefu zaidi ya nyingine.
Nchi hizo ni pamoja na Greenland ambapo Waislamu wa nchini humo wanafunga kwa Saa 22 na Iceland huku nchi ya Urusi wao wanafunga kwa Saa 20, wakati nchi ya Uingereza mfungo wao utadumu kwa Saa 19 tu na kwa nchi za Afrika Mashariki, Waislamu wanafunga saa 13 kwa siku.
Na hii inatokana na kuchomoza na kuzama kwa jua ikiwemo na ishu ya kutofautiana majira.
Walionusurika ajali ya MV BUKOBA wanaendelea kusimulia mengine tusiyoyajua
EXCLUSIVE: Nyoshi kafunguka kutumia mkorogo, ametaja mastaa wanaotumia