Mwanamke anayejulikana kwa jina la Jesca Christopher anayeishi Arusha amezungumzia jinsi alivyolala nje baada ya kugombana na Mume wake kwa tuhuma za ushirikina na kusababisha kufukuzwa nyumbani ambapo baadae alifungua kesi mahakamani na kushinda.
Akizungumza na mwandishi wa AyoTV na millardayo.com Jesca amesema mateso aliyokuwa anayapata ndio yalisababisha akimbie kwa Mumewe.
Spika Ndugai awafungukia Wizara ya fedha ‘Mtu anapigwa tu! anagumia!’