Leo May 25, 2016 Vyombo vya habari nchini Brazil vimeripoti kuwa mgomo wa malori nchini humo umeingia siku ya tatu na kuathiri usambazaji wa chakula na mafuta.
Madereva wa malori ayo walikuwa wanafanya maandamano hayo kutokana na ongezeko katika bei ya mafuta, ambayo ililazimu uwanja wa ndege katika mji mkuu wa Brasilia kupiga marufuku kuongeza mafuta.
UGONJWA WA AJABU: Wanasayansi hawajapata Tiba yake (+video)