Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro imewatoa hofu walowezi wanaoishi Mkoani humo kwa kuwataka wajitokeze na kujiandikisha ili kupata vibali vya Uraia na kuondoa zana kuwa ukijiandikisha utajulikana na kufukuzwa nchini.
Akiongea ofisini kwake Kamishna wa Uhamiaji mkoani humo, Albert Rwelamira amesema serikali haina mpango kwa sasa kuwatimua nchini walowezi hao bali ina lengo la kuwatambua na kuwapatia vibali maalumi vya Makazi.
LIVE MAGAZETI: Kinana ang’atuka CCM, Wamebeba, CHADEMA yapata pigo