Leo May 27, 2018 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amefungua semina ya umoja wa wanawake wa wilaya ya Arusha mjini ( UWT) yenye lengo la kuwajengea uwezo ikiwa ni pamoja na kuelekezana namna ya kutimiza majukumu yao pamoja na mada za kuwajengea uwezo.
Gambo amesema jimbo la Arusha mjini haliwezi kugawanywa kama inavyozungumzwa na katika uchaguzi ujao kwa gharama yoyote jimbo hilo litakuwa la CCM.
LIVE MAGAZETI: Kinana ang’atuka CCM, Wamebeba, CHADEMA yapata pigo