Benki ya NMB imezidi kukuweka karibu wewe mtumiaji wa benki hii ambayo kwa sasa imeshirikiana na Tigo Pesa kukusogezea huduma za kibenki karibu zaidi na kwenye vidole vyako.
Ambapo ukiwa mteja wa NMB mtu wangu wa nguvu utaweza kufanya yafuatayo
- Kwa wateja wote wa NMB wanaweza kuweka na kutoa pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwendaTigo Pesa na kutoka Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti ya NMB
- Yote hii ni kupitia simu ya mkononi na hela kuchukuliwa kupitia Wakala yeyote waTigo Pesa
Taarifa tu ni kwamba huduma hi impya inawawezesha wateja wote wa NMB naTigokuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB.
Pia mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye akaunti yaTigo Pesa,na kizuri ni kwamba huduma hii inafanyika kwenye simu za mkonon inautoaji wafedha unafanyika kwaWakala yeyote waTigo Pesa.