Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo June 1 2018 amefanya ziara katika kiwanda cha kutengenezea nguo cha Urafiki na kukuta matatizo mbalimbali likiwemo la kiwanda kutofanya kazi.
Majaliwa amesema kunatatizo la gepu kubwa la mishahara kwa wafanyakazi ambapo viongozi wa juu wanajilipa Milioni 7 ila wa chini wanalipwa laki nne, hivyo atalifanyia kazi.
Maamuzi ya Waziri Mkuu baada ya kukuta Viongozi wanajilipa Milioni 7, wengine laki na ishirini
Leave a comment
Leave a comment