Mbunge wa Momba David Silinde ni miongoni mwa Wabunge waliosiamama Bungeni leo June 4, 2018 kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha na mipango kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amelieleza bunge kuwa Wizara hiyo ni adui namba moja wa taifa.
‘Hivyo viwanja Spika hawezi kwenda’-Spika Ndugai