Kijana Said Bawazir mwenye umri wa miaka 22 anasumbuliwa na uvimbe kwenye kichwa chake na umemsababishia upofu wa macho na kumfanya kupooza upande mmoja wa mwili wake na pia hutokwa na damu nyingi maskioni.
Said Bawazir anahitaji Shillingi Milioni 25 kutoka kwa Watanzania ili kusafirishwa kwenda India kwaajili ya matibabu ili kunusuru maisha yake.
BREAKING: Sam wa Ukweli amefariki Dunia, chanzo?