Dr. Louis Shika ambaye alitangaza dau la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi ambapo baadae alishindwa ulipia, leo June 8, 2018 amezungumza na waandishi habari.
Dr. Shika ametangaza nia ya kujihusisha na masuala ya muziki nchini Tanzania hasa upande wa kuwasimamia wasanii wachanga na wakubwa.
“Sasa tutaelewana tu na kabla hatujaanza na masuala ya viwanda 30 nilivyo vitaja na ‘different services’, kwa sasa ninaanza na music industry na tunaanzia kwa msanii anaitwa Godson anayetokea Songea na hili nina uhakika watanzania watafurahi na kufuta stress” amesema Dkt. Shika.
FULL VIDEO: Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kuelekea Bagamoyo