Leo June 14, 2018 Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuandama kwa mwezi katika sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Pemba na Morogoro.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi Bin Ally, ametangaza kesho Ijumaa June 15, 2018 kuwa sikukuu ya Eid El Fitr.
Alichozungumza Mufti Mkuu kuhusu Sikukuu ya Eid El Fitr
BREAKING: Ajali ilivyoua Askari 10 wa JKT, 25 wamejeruhiwa muda huu Mbeya
JPM ‘Nimeumizwa sana, Vifo 13, poleni Mkuu wa JWTZ na wa JKT’