June 19, 2018 Wizara ya mifugo na Uvuvi imemtoza faini ya Shilingi laki tatu mmiliki wa mgahawa wa Bunge Daniel Lamba baada ya kukamata samaki wadogo aina ya sato wanaodaiwa wamevuliwa kinyume cha sheria. Samaki hao walikuwa tayari kwa ajili ya kuliwa.
Ufafanuzi kwa wanaosafirisha Samaki kwaajili ya mboga kutoka Mwanza