Leo June 19,2018 tunayo story kuhusu Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambapo kuna changamoto ya mfumo wa ukatishaji tiketi katika vituo vyake vya abiria.
Msemaji wa UDART, Deus Bugaywa anasema changamoto kubwa iliyopo kwa sasa ni katika mfumo wa tiketi ambapo wanahama kutoka katika mfumo wa awali kwenda kwenye Mfumo mmoja wa Malipo ya Serikali.