Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amemshauri Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango pamoja na Serikali kwa ujumla kuwekeza kwenye sekta za kilimo na viwanda ikiwa kweli inahitaji kukuza uchumi wa nchi na sio kuendelea kuwakandamiza kama ilivyo sasa ikiwemo kuwalimbikizia masharti yasiyokuwa na tija.
“Mnataka watanzania wajifungie ndani ndio wale samaki?” –Spika Ndugai