Mapema mwezi June, Kunatangazo lililotewa na uongozi wa Hospitali ya Bugando, Mwanza likitoa nafasi za watu kuomba kujiunga na Mafunzo ya kuhudumu katika chumba cha Maiti (MORTUARY) ,kitu ambacho hakizajoeleka.
Leo June 20, 2018 AyoTV na millaradyo.com imekutana na Afisa Mahusiano wa Bugando kwenye Exclusive Interview ambaye amweka wazi vigezo walivyokuwa wanaviangalia na kutaja kuwa mpaka sasa watu 11 wameshaomba nafasi hizo za mafunzo.
Lema kawafungukia wanaosema kafulia na gari yake ya mwaka 1962