Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka amelieleza Bunge kuwa Serikali haiwezi kujiendesha kwa kujitegemea huku ikiishia kuwa na madeni mengi yasiyo himilivu na badala yake ijiwekee utaratibu wa kuwa na ubia lasivyo itadondokea pua.
Prof Tibaijuka amesema…>>>“Hii dhana ya kusema deni la taifa ni himilivu, Waziri uje utuambie huo uhimilivu wake wakati inaswaga 49% ya mapato ya ndani,. Maendeleo yatakwama kwasababu tunakopa hivyo lazima tutafute ubia katika miradi mikubwa na tukienda kichwakichwa kwamba sisi tunajitegemea tutakuja kuangukia pua”
Sheria inasemaje kwa Mwanafunzi wa kiume kujihusisha kimapenzi na mwalimu wake?