Leo June 23, 2018 Mlipuko mkubwa umetokea katika mkutano ambao Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia, Abiy Ahmed alikuwa anahutubia.
Haijulikani wazi idadi ya watu waliofariki lakini Kiongozi huyo ameondolewa eneo hilo haraka na kwa muda mfupi baada ya kutoa hotuba yake.
Maelfu walikuwa wamekusanyika katika bustani kuu ya Meskel mjini Addis Ababa.
Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa.
MAGAZETI LIVE: Maiti tano zadaiwa kuzikwa kanisani, TRA kupiga mnada makontena ya vigogo