June 25, 2018 Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve amesema kuwa wastani wa watanzania kunywa maziwa umeshuka kwa kiwango kikubwa huku kukiwa na changamoto kwa wauzaji wa maziwa ambao wamekuwa wakisumbuliwa na watu wa mamlaka ya mapato nchini TRA.
“Mwitikio wa unywaji wa maziwa nchini umekuwa chini sana, WHO wanashauri mwanadamu anywe walau lita 200 kwa mwaka lakini hatujafikia lengo na tatizo kubw ahapa ni bei ya kuwa kubwa.” –Rose Tweve
“Suala lingine ningependa Waziri uje ulitolee ufafanuzi, hawa watu wa TRA wamekuwa ni kero kwa wauzaji wa maziwa hasa ya mtindi kwa kuwalazimisha kulipa VAT ” –Rose Tweve
Waziri Mpina ‘Tumepiga faini sana inatosha sasa tukikumata tunataifisha kila kitu”