Leo June 27, 2018 nakusogezea taarifa kutoka Staa mkongwe kwenye tasnia ya uigizaji nchini Mzee Majuto ambaye alikuwa nchini India kwaajili ya matibabu na amerejea nchini baada ya kumaliza matibabu.
Moja ya jambo ambalo ameliongelea King Majuto ni kuhusiana na kampuni ambazo aliwahi kufanya nazo kazi za matangazo na hawakumlipa anavyostahili au walivyokubaliana.