June 27, 2018 Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni ikiongozwa na Mbunge wa Vunjo James Mbatia imekutana na Waandishi wa habari Dodoma na kutoa kauli ya kuitaka Serikali kutoa Shilingi billion 200 za mauzo ya zao la korosho nje ya nchi yaani (export levy) vinginevyo hatua hiyo itasababisha uvunjifu wa amani ya nchi.
King Majuto “Zipo Kampuni nimefanya kazi, mikataba ninayo wamekimbia na hela zangu”