Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amelieleza Bunge wakati akichangia muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2018 (The finance bill 2018) kuwa Serikali isiwe na ukatili kwa kitendo cha kodi ya export levy kwenye zao la korosho.
Wauzaji wa vifaa vya magari wamepewa siku 30 kuhama