Leo June 29, 2018 Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewakuta na hatia na kuwapa karipio kali la maandishi Wauguzi na Wakunga sita katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa kushindwa kutimiza majukumu yao ya kitaaluma wakati wakitoa huduma kwa mgonjwa.
Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Abner Mathube, amesema baraza hilo lilisikiliza shauri la ukwiukwaji wa maadili ya kazi lililotokea katika Hospitali ya Morogoro ambapo mama mjamzito alilalamika kutokupatiwa huduma stahiki alipowasili hospitalini hapo hali iliyosababisha mama kukosa mtoto wake.
MAGAZETI LIVE: Biashara ya kushikwa nyeti, matiti yaibuka, Mateso ya korosho