Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde kushughulikia tatizo la ugawaji wa ardhi lililopo kati ya wananchi na mamlaka ya jiji hilo.
RPC Dodoma atolea ufafanuzi “KIPIGO CHA MBWA KOKO”