kutoka nchini Ethiopia wakiwa wanasafirishwa kutoka Arusha kuelekea Mbeya wakiwa kwenye gari aina ya scania naomba za usajili T.898 AHM mali ya kampuni ya SANVIC LTD lililokuwa likiendeshwa na Julius Kitoma (57)
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amesema kuwa wahamiaji hao haramu walikamatwa katika kijiji cha Kuhi Wilaya ya Kondoa, Dodoma wakiwa na wenyeji wane raia wa Tanzania.
Mwalimu wa shule ya kata kajiongeza anafundisha Geography Youtube