Waziri wa Afya Ummy Mwalimu July 12, 2018 ameitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA na Wizara ya Afya, Kitengo cha Afya ya Mazingira, kuangalia ni Mamlaka ipi inajukumu la kutazama Vyakula vinavyoliwa kwenye maharusi hasa kwa Dar es Salaam, ili kulinda usalama wa mlaji.
“Chakula kinasafirishwa kutoka Mbezi zaidi ya masaa mawili, Kama Waziri wa Afya nina wajibu wa kuhakikisha Usalama wa Chakula ambacho watu wanakula” Waziri wa Afya Ummy