Jumapili ya July 15 2018 mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2018 ulichezwa kwa kuzikutanisha timu za Ufaransa dhidi ya Croatia, Mbunge wa Mtama Nape Nnauye alifuatilia game hiyo akiwa jimboni kwake Mtama na wananchi wake, Nape Nnauye aliweka big screen katika ofisi ya Mbunge na kuangalia game hiyo akiwa na wananchi wake.
Mashabiki wa soka Escape One wakishuhudia Ufaransa ikitwaa Ubingwa World Cup