Leo July 24, 2018 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wameachiwa huru.
Akwilina aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji NIT aliuawa kwa kupigwa risasi wakati Jeshi la Polisi likiwatawanya waandamanaji wa CHADEMA Kinondoni.
”Polisi walioshikiliwa kwa ajili ya uchunguzi wameachiliwa kwa sababu wamekutwa hawana Makosa” Lazaro Mambosasa
BREAKING: ‘Msinipigie simu nimewatuma wawakamate’- Kamanda Mambosasa