Kampuni UDART imetoa taarifa kuwa kutokana na shughuli za ujenzi wa daraja la juu kwenye makutano ya barabara za Morogoro, Nelson Mandela na Sam Nujoma wamelazimika kubadili ratiba ya mabasi yaliyokuwa yakianzia na kumalizia safari zake katika kituo cha Ubungo Maji… bonyeza play hapa chini kupata taarifa kamili
VIDEO: ABDUL NONDO AIBUKA…. “NI KINYUME NA RAIS MAGUFULI ANAVYOTAKA”