Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mpya Albert Chalamila amekabidhiwa Ofisi na aliekuwa kuwa Mkuu wa mkoa huo Amos Makala ambapo amewataka Watendaji wake kulitathmini agizo la Rais Magufuli la ukusanyaji mapato ili mkoa huo uondoke katika nafasi iliyopo sasa.
RC Chalamila ametoa agizo hilo wakati akimuapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Chunya Maryprisca Mahundi.
Kutoka kwa waziri Dr Kigwangalla “Sijui hata kwa nini usiku huu nimegusa simu”