Leo August 15 2018 Kupitia Twitter ya US Embassy Tanzania na website wamechapisha tamko lao kuhusu uchaguzi wa marudio uliomalizika August 12, katika Kata 79 na Jimbo la Buyungu ambapo Mbunge wake alifariki.
Muda mfupi baada ya taarifa hiyo kusambaa Msemaji wa Serikali Dr. Hassan Abbas amesema Serikali inajiridhisha juu ya taarifa hiyo na watatoa tamko lao punde.
“Kuna taarifa inasambaa kuhusu kinachodaiwa ni taarifa ya ubalozi mmoja kuhusu masuala ya ndani ya nchi. Tunajiridhisha. Tutatoa tamko punde” Msemaji Mkuu wa Serikali
Ubalozi wa Marekani Tanzania watoa ripoti yao juu uchaguzi Buyungu na Kata 79
Mwanamke mwenye asili ya Tanzania awa wa kwanza Afrika kupata Ubunge Pakistan “Najihisi Mandela”