Leo 15 Agosti 2018 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekiri kuona tamko lililotolewa na Ubalozi wa Marekani Tanzania kupitia tovuti yake _tz.usembassy.gov_ linalohusu uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Taarifa hiyo ya Ubalozi ilionesha masikitiko makubwa kuhusu namna mchakato wa uchaguzi katika Kata 36 na Jimbo la Buyungu ulivyofanyika.
NEC imeutaka Ubalozi wa Marekani nchini uthibitishe madai yao kuhusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu na kata 36.
Ubalozi wa Marekani Tanzania watoa ripoti yao juu uchaguzi Buyungu na Kata 79