Siku moja baada ya RC Mbeya, Albert Chalamila kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wanakijiji cha Ngole, Polisi wameanza utekelezaji tayari wametinga kijijini hapo.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, amesema magari yameshatumwa yakiwa na askari wa kutosha kwa ajili ya kuwakamata wananchi hao.
Amesema kitendo kilichofanywa na wananchi wa Kijiji hicho ni uhujumu uchumi hivyo lazima washughulikiwe ipasavyo.
Lugola afunguka tena ishu ya Mbwa, ataja sifa na kazi 3, “Bunge linapitisha Bajeti chakula chake”