Leo August 16, 2018 Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa kampuni ya TUDELEY, Jensen Natal pamoja na Mwanasheria wa Kampuni hiyo Edward Mrosso kwa kosa la kukwepa kodi ya zaidi ya Milion 700.
Kamanda Mbeya atii agizo la RC Chalamila, atuma Polisi wa kutosha kukamata Kijiji chote